Wednesday, May 22, 2024
Monday, March 9, 2020
Friday, August 17, 2012
DISIGNER CHIPUKIZI KUNG`ARA FIESTER..
👀 DISIGNER CHIPUKIZ KUNG`ARA FIESTER
Adai kwamba wadhamini ndio chanzo cha kuludi nyuma kwake kimaendeleo ya sanaa yake hiyo.
-
Adai kwamba wadhamini ndio chanzo cha kuludi nyuma kwake kimaendeleo ya sanaa yake hiyo.
-
Msanii huyo ambae alifahamika kwa jina la debxris alidai kwamba kaka yake ambae ndiye aliyekuwa mdahmini wake ndiyo sababu ya kuludi nyuma kwa mafanikio ya fani yake hiyo "yule mimi ni kaka yangu na siwezi kumzungumzia vibaya lakini yeye ndio chanzo cha kuludi nyuma kwa mambo yangu mengi sana" alinukuliwa akisema msanii huyo ambapo aliendelea na kudai kuwa "ofcourse yeye ni mkubwa na alikuwa na uwezo kidogo kitu ambacho kilinifanya nifarijike na niwe na imani kuwa angeweza kunidhamini kwani hata nchi za nje kwake ni kama kwenda ilala"
Ambapo mfukunyunyu wetu alifanikiwa kuongea na kaka yake huyo ambaye ndiye alikuwa mdhamini wake ambapo nae alikanusha habari hizo na kusema kuwa uvivu na kudeka kwa msanii huyo ndiko kunakochangia na sio yeye kama alivyoelezea msanii huyo alikaliliwa na mfukunyunyu wetu na kudai kuwa "tatizo la mdogo wangu yule ni mvivu na anadeka sana kitu ambacho kinafanya hata ukimwambia ukweli anakuwa mtata so ni ngumu kufanya sanaa hasa ukizingatia yeye anapenda udisigner" ambapo aliendelea na kukili kuwa ni kweli mdogo wake huyo ni mkali katika maswala ya disigning "kiukweli deb ni mkali sana na anaweza na hata tukicompare kibongobongo hakuna mtu wa kutia maguu endapo ataacha uvivu na akaamua kuwa silious lazima afunike bongo na east africa kwa ujumla" hivyo ndivyo alivyomaliza mdhamini huyo ambaye hakutaka jina lake kama alivyong`ara hapo pichani
Subscribe to:
Comments (Atom)
