ABOUT ME

3 comments:

  1. kifupi mimi ni kijana mtanashati na ni msomi vilevile lakini kinishangazacho ni umasikini wa watanzania ikiwa tanzania ni nchi yenye utajili wa madini.
    Mbali na umasikini wa watanzania pia nasikitika kwa kuona pia hata kunyanyua vipaji kwa wasanii wetu wa hapa nchini japo kwa kuwasumbukia japo wapate haki miliki iliwaweze japo kupata faida katika kazi za mikono yao wenyewe.
    Lakini chakuumiza sana ni hasa pale ninapoona wasomi wengi katika nchi hii wapo mitaani na hawana kazi zakufanya hadi kupelekea wengi wao kuishia kwenye madawa ya kulevya.
    Mbali na hayo kinachoniuzi zaidi ni hasa pale serikari yetu inapotangaza nafasifeki za kazi kisha kuhitaji experience ya miaka ambayo hata kwa mtu aliyehitimu miaka saba iliyopita hapati kazi kutokana na kutokuwa na experience ya miaka hiyo waliyoiitaji.
    Swali;Je wasomi vijana ktk nchi hii watapata kazi kwa stahili hiyo au wazee na wastaafu ndio watakaoludishwa makazini?

    ReplyDelete
  2. Nini maana ya watu wasiotaka kuhesabiwa katika sensa?
    Watu wengi wamekuwa na imani potofu juu ya kuhesabiwa sensa,lakini napenda kuwaambia ndugu zangu kuwa sensa ni haki yako na ni lazima uisaidie serikali yako kupata takwimu ambazo zitaisaidia serikari yako kupanga badget kwa maendeleo yako mwananchi.
    Lakini pia napenda kuwaambia wote kwamba tufike maara tusiwe watumwa wa mawazo potofu jiandikishe sensa na jiandikishe upate kitambulisho cha uraia.ahsanteni.

    ReplyDelete